Monday, June 6, 2016

CCM wameyazungumza haya baada ya upinzani kusema wanaenda kwa wananchi kushitaki



June 06 2016 Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka amekutana na waandishi wa habari na kuzungumza mambo kadhaa ambapo kati ya hayo amezungumzia suala la wabunge wa upinzani kusema wanaenda  kwa wananchi kushtaki kutokana na mambo kadhaa ambayo yamekuwa yakijitokeza kwa Serikali ya awamu ya tano……….

Rais Magufuli kakutana na Balozi wa Marekani nchini, Marekani kutoa msaada ambao hauhusiani na MCC











June 06 2016 Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mark Childress alikutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli ambapo katika mazungumzo yao ameahidi kuwa Marekani itatoa dola milioni 800 kwa Tanzania kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo.