FOLENI - SUKARI.
Wakazi wa Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wakiwa kwenye foleni ya
kununua sukari
katika duka la jumla lililopo kando ya Barabara ya
Sokoine mjini Songea mwishoni mwa wiki. Bei ya sukari
imepanda kutoka Sh
2,000 hadi kufikia Sh 3,500 kwa kilo mkoani humo kutokana na kuadimika
kwa
bidhaa hiyo. (Picha na Muhidin Amri).
No comments:
Post a Comment