Mgombea
Urais nchini Marekani Donald Trump amesema anaweza ‘kuuza jengo’ ili
kusaidia mfuko wa kampeni yake ambayo inaweza kugharimu dola billioni
1.
Monday, May 23, 2016
Rais Magufuli kafanya uteuzi mwingine leo May 23 2016
May 23 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa viongozi wawili wa serikali, taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi leo
Louis van Gaal: Manchester United sack manager
Manchester United's FA Cup final win over Crystal Palace gave them a
12th success in the competition and a first since Sir Alex Ferguson led
them to victory in 2004
FOLENI - SUKARI.
Wakazi wa Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wakiwa kwenye foleni ya kununua sukari
katika duka la jumla lililopo kando ya Barabara ya Sokoine mjini Songea mwishoni mwa wiki. Bei ya sukari
imepanda kutoka Sh 2,000 hadi kufikia Sh 3,500 kwa kilo mkoani humo kutokana na kuadimika kwa
bidhaa hiyo. (Picha na Muhidin Amri).
Subscribe to:
Comments (Atom)


