MC Pilipili alipokua chuo, kuna vitu vilimchochea kuachana na ualimu na kuwa mchekeshaji
Mchekeshaji
maarufu bongo Mc Pilipili amezungumzia maisha yake jinsi alivyokua chuo
na watu kukubali kipaji chake cha kuchekesha na kuamua kuwa mchekeshaji
rasmi, hii ni interview yake alipokutana na Millard Ayo na kuzungumzia
alipokua chuo kuna vitu vilimchochea kuachana na ualimu na kuwa
mchekeshaji…..
‘mimi
nilivyoona hata kama nikitulia tu watu wananiona nachekesha basi comedy
ni kitu ambacho kiko ndani yangu na ni kitu ambacho siwezi kukikwepa so
kuanzia hapo nikaanza kuwa fun na kuwa maarufu’
Siwema, mama mtoto wa Nay wa Mitego kapata kifungo cha nje, Nay kaeleza.
Stori inayochukua headlines 88.1 (Mwanza) kuhusu Mama mtoto wa Nay wa
Mitego, Siwema kutumikia kifungo cha nje, sasa Ayo TV imempata Nay wa
Mitego kueleza taarifa hizo za mzazi mwenza.
‘Tulikuwa tunapambana jinsi ya kumsaidia mpaka amepata
kifungo cha nje, na kuna vitu ambavyo hatakiwi kufanya katika jamii kama
kupigana au kusafiri nje ya mkoa fulani mpaka kifungo chake cha miaka
miwili lkitakapokwisha basi anaruhusiwa kuendelea na mambo mengine’- Nay wa MitegoGame of Thrones' Emilia Clarke Poses Topless in Sexy Violet Grey Photo Shoot
"Find out how the character walks," she said. "You know what shoes she's wearing—the way you hold yourself in heels is very different from the way you hold yourself in Crocs."
Clarke also named her favorite body feature—and her answer may surprise you.
"I'm proud to say I've never had braces; my top teeth are just naturally straight," she said.
You can catch Clarke on Game of Thrones Sundays at 9 p.m. ET on HBO as well as in the new romantic drama film Me Before You, which was released this past Friday.
Baada ya Jackline Wolper kuwa na Harmonize, kataja jina analomuita Diamond kwa sasa
Kwa sasa headlines nyingi katika upande wa mastaa Tanzania ni stori kuhusu penzi la muigizaji Jackline Wolper na msanii wa Bongo fleva kutoka Wasafi Classic Baby (WCB) Harmonize ndio Topic kubwa town.
Katika mahojiano na Take One ya Clouds TV na Zamaradi Mketema, Jackline Wolper ameeleza mambo kadhaa kuhusiana na penzi lake la Harmonize, Diamond ambaye aliwahi kuwa mpenzi wake anachukuliaje mahusiano yao?
“Diamond
rafiki yangu sana ni mtu ambae nategemea hata kuja kufanya nae filamu,
Diamondi ni rafiki yangu sana licha ya watu wanaweza wasielewe, lakini
sasa hivi Diamond ni baba mkwe wangu,
“kuhusu
Harmonize nampenda kwa sababu ana hofu ya mungu, ana heshima sana
mwisho hawezi kufanya maamuzi bila kuomba ushauri, katika kunipenda mimi
alipiatia pia kuomba ushauri kwa Diamond ambaye ni boss wake kaka yake
na kupewa ruhusa kwa hiyo Baraka zimetoka kwa Diamond mwenyewe”
Harmonize na Jackline Wolper mapenzi motomoto kwenye birthday party
Mwigizaji Jackline Wolper wa bongo movie yuko mapenzini na mwimbaji wa bongofleva Harmonize ambaye anatokea lebo ya WCB inayomilikiwa na Diamond Platnumz, Jacky na Harmo hawakusita kuonyesha mahaba yao kwenye birthday party ya mtoto wa Mose Iyobo na Aunty Ezekiel.
wawili hawa wameonekana kwenye picha mbalimbali kama inavoonesha hapo
Billboard Music Awards 2016 Winners:
The Complete List
While there is plenty of buzz surrounding tonight's performances at the 2016 Billboard Music Awards, we can't help but recognize music's biggest nominees and potential winners in Las Vegas.
The Weeknd leads the evening's awards show with a whopping 19 nominations in 16 categories. Meanwhile, Justin Bieber, Drake and Fetty Wap are both finalists in 10 categories.
And while many of the winners will remain top-secret until the awards show ends tonight at 11 p.m. EST, Britney Spears and Céline Dion are already early winners for two separate awards any musician would love to have.
So, who's leaving Las Vegas with one special trophy given by Billboard? We have the full winners list that's updating throughout the day. Congratulations to all the winners!
Icon Award: Celine Dion
Top Artist: Adele Top New Artist: Fetty Wap Top Male Artist: Justin Bieber Top Female Artist: Adele Top Duo/Group: One Direction Top Billboard 200 Artist: Adele Top Hot 100 Artist: The Weeknd Top Song Sales Artist: The Weeknd Top Radio Songs Artist: The Weeknd Top Streaming Songs Artist: The Weeknd Top Social Media Artist: Justin Bieber Top Touring Artist: Taylor Swift Top R&B Artist: The Weeknd Top Rap Artist: Drake Top Country Artist: Luke Bryan Top Rock Artist: twenty one pilots Top Latin Artist: Romeo Santos Top Dance/Electronic Artist: David Guetta Top Christina Artist: Hillsong United Top Gospel Artist: Kirk Franklin Top Billboard 200 Album: Adele, 25 Top Soundtrack: Pitch Perfect 2 Top R&B Album: The Weeknd, Beauty Behind the Madness
Chris Brown And Royalty’s Mother Argue On Social Media Over Her Attire
While
Chris Brown’s relationship with his cutiepatootie daughter Royalty, is
in tact, he recently got into a tiff with Royalty’s mother on social
media about her attire.
Brown
took to Instagram to criticize Royalty’s mother, alleging the 2 year
old was dressed like she was decades older than what she actually is.
“It’s
crazy to me that a parent would be okay dressing our daughter like she
16,” Brown wrote. “I ain’t cool with that. She’s 2.”
Royalty’s mother didn’t take kindly to Brown’s accusations and clapped back stating Royalty’s attire was just fine.
“If anybody thinks something is wrong with a baby mad at the world in dance class in her tutu, you need to go pray. #Namaste
There
were a mixed bag of emotions. Some believed Brown was simply being a
dad, while others commented it wasn’t the outfit, but Royalty’s pose.
Diamond Amkuwadia Wolper kwa Harmonize, Mkongo Hana Chake
Ama kweli penzi ni kikohozi, kulificha huwezi. Baada ya usiri mzito kutawala, hatimaye imebainika kuwa The Big Boss wa Wasafi Classic Baby (WCB), Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ndiye ‘aliyeinjinia’ penzi jipya mjini la muigizaji Jacqueline Wolper na kijana anayekuja kwa kasi kwenye Bongo Fleva, Rajabu Abdulhan ‘Harmonize’.
RISASI LILIANZA KUTONYWA
Awali, gazeti hili lilitonywa kuhusu penzi hilo jipya na chanzo chake makini na kueleza namna ambavyo Diamond alivyokuwa na mchango mkubwa katika kufanikisha Hamonize ambaye ni memba wa WCB ‘anamng’oa’ Wolper.
“Diamond ndiye aliyesimamia mchakato mzima. Katumia kila mbinu kuhakikisha Wolper anaingia kwenye himaya ya mdogo wake. Nafikiri pia atakuwa ameangalia na suala zima la kibiashara, muziki sasa hivi unataka msanii azungumzwe,” kilisema chanzo hicho.
DOGO NDIYE ALIANZA KUSUMBUA
“Hamonize ndiye aliyeanza kuvutiwa na Wolper. Akamwelezea Diamond hisia zake, kama unavyojua tena Diamond si mtu wa kuremba, fasta tu akaweka mambo sawa. Kila kitu kikaenda kwenye mstari,” kilisema chanzo chetu.
MKONGO HANA CHAKE
Chanzo hicho kilizidi kumwaga ubuyu kuwa, kutokana na Diamond kumwaga ‘sumu’ za kutosha na Wolper kuingia penzini ‘mzimamzima’ ndani ya muda mfupi, Mkongo aliyekuwa anammiliki mrembo huyo hana tena chake kwa sasa.
“Aaah! Mkongo hana chake tena kwa sasa. Wolper hasikii wala haoni. Amechanganyikiwa na penzi la Hamonize kiasi ambacho hataki kusikia habari ya mwanaume mwingine yeyote,” kilisema chanzo hicho.
MAMBO HADHARANI MITANDAONI
Mara baada ya chanzo hicho kumwaga ubuyu huo, wakati Risasi Mchanganyiko likiendelea kufanya uchunguzi wake, ghafla likakumbana na video ya wawili hao kupitia mtandao wa kijamii wa ‘Snap Chat’ ambayo ilimuonesha Wolper akiwa ‘hajiwezi’ kwenye gari akiimbiwa wimbo wa Number One wa Diamond na Hamonize aliyekuwa akiendesha gari hiyo.

Chanzo:Global Publishers
UKIONA HAYA KWA MKEO KUWA DICTETA HARAKA LA SIVYO----

Kama mkeo anasali kwa walokole au amehamia kusali kwa walokole ndugu yangu hakikisha unamdhibiti sana na mapema kabla hajaharibiwa asali akiwa anajitambua
Wachungaji wa Kilokole(wanajiita manabii) kwa sababu sadaka inayotolewa kanisani huwa ni ya kwao(tofauti na Roma na Sabato ambako sadaka inapelekewa uongozi wa juu)
Basi kipato cha wachungaji hawa hutegemea waumini zaidi katika utoaji wa sadaka zao.
Asilimia kubwa wamekuwa wakiwatumia wanawake kwa sababu ni wepesi kuhadaika!
Mke wako anajazwa upepo wa kiimani na kufikia kuwa na mapenzi na imani yaliyopitiliza mipaka!
Ukianza kuona mkeo anabadilika taratibu ndani maombi ya kukemea yanazidi,muda wa kanisani unazidi na matoleo yanazidi kule kanisani ndugu tangu kuwa dikteta ghafla na hata ikiwezekana mzuie kama hawez kusali kawaida tu kwa kumtegemea mungu aache tu
Ukipuuzia jiandae kwa mkeo kutumia kipato chake chote kanisani/ mkeo kutumia robo tatu ya muda wake wote kanisani( kukesha na kila weekend kushinda wakimsaidia nabii wao kazi) hapa mpaka kazi zake kama mke anasahau
Ukicheza anafikia hatua ya kuliwa kabisa!
Mara nyingi wengi wetu tumeshakutana na kesi za hivi! Mke anapeleka kila kitu kanisani vikiisha ndo anashtuka alikuwa anaibiwa!
Sijaongea hivi kuharibia wachungaji wa kilokole hapana ila na wao nawashauri waache kutumia imani kutapeli na kuvunja ndoa za watu
Tumieni imani kuokoa na kusaidia watu ili waje kuupata wokovu na sio kutumia imani kujitajirisha Kwa nitakayemkwaza anisamehe lakini huu ndio ukweli

Nawasilisha!!

No comments:
Post a Comment