Wednesday, June 8, 2016

Serikali imetangaza kutenga trilion 29.5 kama bajeti yake kuu kwa mwaka 2016/2017


June 8 2016 Serikali kupitia Wizara ya fedha na mipango imewasilisha bungeni Dodoma mapendekezo ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2016/2016. Jukumu la kuwasilisha limefanywa na Waziri Philip Mpango

Waziri Mpango amesema..>>>’Kwa upande wa matumizi, katika mwaka 2016/2017 Serikali inapanga kutumia jumla ya shilingi trilioni 29.54 kwa matumizi ya kawaida na maendeleo

No comments: