Man United imemsajili Eric Bailly leo June 8 2016
Klabu ya Manchester United ya Uingereza leo June 8 2016 imefanikiwa kumsajili beki wa kati wa kimataifa wa Ivory Coast aliyekuwa anaichezea klabu ya Villarreal ya Hispania Eric Bertrand Bailly.
Man United imefanikiwa kumsajili Eric Bertrand Bailly kwa mkataba wa miaka minne, mkataba ambao una kipengele cha kumuongezea miaka miwili zaidi, Eric Bailly alijiunga na Villarreal January 29 2015 na ameichezea jumla ya mechi 47 na mechi 15 kaichezea timu yake ya taifa ya Ivory Coast.
Bailly mwenye umri wa miaka 22 alikuwa ni miongoni mwa wachezaji wa Ivory Coast waliofanikiwa kutwaa Kombe la mataifa ya Afrika AFCON 2015 na alicheza jumla ya mechi zote sita za mashindano hayo.
.................................x.............x...........x................................................
Zlatan Ibrahimovic amegoma kuthibitisha kama atajiunga na Man United
Mshambuliaji wa kimataifa wa Sweden ambaye alikuwa anichezea klabu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa Zlatan Ibrahimovic, amegoma kuweka wazi kama atajiunga kweli na klabu ya Man United kama inavyoripotiwa au la, Zlatan amejibu hivyo baada ya kuulizwa swali wakati wa uzinduzi wa Clothing line yake.
Wengi walikuwa wanasubiri kwa hamu
kuwa staa huyo Jumanne ya June 7 2016 atatangaza klabu gani atajiunga
nayo, hiyo inatokana na Jumatatu ya June 6 kutangaza kuwa watu wakae
tayari kwani Jumanne atatangaza jambo kubwa na muhimu.
Zlatan hakutangaza kama wengi walivyotarajia kuwa hiyo ndio itakuwa siku atakayotangaza kujiunga na Man United, haikuwa hivyo kwani alitangaza kuzindua brand yake ya mavazi ya A-Z, wakati wa uzinduzi huo aliulizwa kuhusu timu gani atajiunga nayo.
“Kwa
sasa malengo yangu ni A-Z na haijathibitika nitajiunga klabu gani,
napenda hizi stori ziendelee ili siku nikichoka nitawaambia najiunga na
klabu gani, ila kwa sasa kuwa mvumilivu siwezi kusema ndio au hapana
kuhusu mpango wa Man United ila malengo yangu ni A-Z, kwani hata nikiwa
Man United nitavaa nguo za A-Z”
.......................................x...x.....x....x..................................................
Yanga imefanikiwa kusajili wachezaji wawili leo June 6 2016
Good news kwa mashabiki wa klabu ya Dar es Salaam Young Africans, taarifa kutoka klabu ya Dar es Salaam Young Africans zimetolewa leo June 6 2016 kufanikiwa kuwasajili wachezaji wawili.
Yanga wamefanikiwa kumsajili aliyekuwa golikipwa Tanzania Prisons Beno Kakolanya na Vicent Andrew ambaye wengi wanamjua kwa jina la utani kama Dante kutoka Mtibwa Sugar kama beki wa pembeni.
Beno Kakolanya
Yanga kwa sasa
wanajiandaa kwa ajili ya michuano ya Kombe la shirikisho barani Afrika.
Hivyo usajili huo unalenga kuimarisha kikosi chao kwa ajili ya kuanza
kwa hatua ya Makundi ya Michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika, Yanga wataanza kucheza na Mo Bejaia ya Algeria June 17 2016.
Andrew Vicent ‘Dante’.
Muonekano wa kikosi cha wachezaji 23 wa England walivyowasili Paris Ufaransa
Kikosi cha wachezaji 23 wa timu ya taifa ya England kimewasili Paris Ufaransa mchana wa leo June 6 2016 kwa ajili ya michuano ya Euro 2016, England imeondoka Luton asubuhi na kuwasili Paris Airport-Le Bourget mchana wa leo June 6 2016, England itacheza mchezo wake wa ufunguzi wa Euro 2016 Jumamosi dhidi ya Urusi.
Azam FC wanacheza fainali vs Yanga May 25, limetajwa jina la staa wao aliyeshusha morali
Najua wewe unaweza kuwa moja kati ya mashabiki wa soka wanaosubiria kwa hamu kuangalia mchezo wa fainali ya kwanza ya Kombe la FA Tanzania, baada ya mashindano hayo kusimama kufanyika kwa miaka mingi.
Klabu ya Azam FC ambayo itacheza mchezo huo wa fainali ikiwa haina staa wake kutoka Ivory Coast Pascal Wawa na kumkosa kocha wake mkuu Stewart Hall, mkuu wao wa habari Jafari Iddi amekiri kukosekana kwa Pascal Wawa kumeshusha morali ya timu kwa kiasi fulani.
Klabu ya Azam FC ambayo itacheza mchezo huo wa fainali ikiwa haina staa wake kutoka Ivory Coast Pascal Wawa na kumkosa kocha wake mkuu Stewart Hall, mkuu wao wa habari Jafari Iddi amekiri kukosekana kwa Pascal Wawa kumeshusha morali ya timu kwa kiasi fulani.
“Ni
kweli tuliendelea na mazoezi kuelekea mchezo wa huo, Azam FC safari hii
imekubwa na matatizo ya majeruhi kama hivi Wawa hawezi kucheza na ana
mchango katika timu, kitu ambacho kimeshusha morali ya wachezaji kiasi
fulani, ila kesho Denis Kitambi na Iddi Cheche ndio watasimamia timu”
Thamani ya Kombe la ASFC litakalotolewa katika mchezo wa fainali ya Yanga vs Azam FC kesho May 25

May 24 2016 wadhamini wa Kombe la shirikisho Tanzania Azam Tv kupitia kwa Baruan Muhuza wameweka wazi maandalizi ya mchezo wa fainali sambamba na thamani ya zawadi zitakazotolewa katika mchezo wa fainali ya kati ya Yanga dhidi ya Azam FC.
Utaratibu utakaotumika kutoa zawadi ya
Kombe lenye thamani ya dola elfu 15 za Kimarekani ambazo ni zaidi ya
milioni 30 za kitanzania ni ule ambao umezoeleka, ili uchukue Kombe hilo
moja kwa moja ni lazima ufanikiwe kutwaa mara tatu mfululizo.
“Ni Kombe ambalo limetengenezwa nje ya nchi lina thamani ya dola 15,000 hivyo thamani yake pia haijaishia kwenye Kombe pekee hata kwa zawadi watakazopewa mchezaji bora, kipa bora na mfungaji bora zina thamani pia”
Manchester United's FA Cup final win over Crystal Palace gave them a
12th success in the competition and a first since Sir Alex Ferguson led
them to victory in 2004
Louis van Gaal has been sacked as
manager of Manchester United, with former Chelsea boss Jose Mourinho
set to be named as his replacement.
Van Gaal, 64, leaves after two years of a three-year contract and is currently discussing severance terms.The former Netherlands boss is believed to earn around £6.4m a year.
Mourinho's appointment is expected to be confirmed after the 53-year-old Portuguese meets with senior United officials on Tuesday.
It is not yet certain what future Ryan Giggs, Van Gaal's assistant, has at Old Trafford or what will happen to the rest of the coaching team.
BBC Sport reported on Saturday that United's FA Cup win over Crystal Palace would be Van Gaal's last game in charge.
He arrived at Manchester United's training ground at 0845 BST on Monday.
Forty-five minutes later, League Managers Association lawyer Paul Gilroy QC also drove into Carrington.
Gilroy is the same employment barrister who acted for David Moyes when he was sacked as manager by United in 2014.
Gilroy arrived around 0930 and was initially refused entry.
He returned approximately 15 minutes later and was allowed in, refusing to answer questions about the reason for his presence.
They include Roy Hodgson, Martin O'Neill, Sir Alex Ferguson, Harry Redknapp, Roy Keane, Roberto Martinez, Sam Allardyce, Brendan Rodgers, Alan Pardew, Nigel Pearson and Steve McClaren.
Van Gaal took control of United after leading the Netherlands to the semi-finals of the 2014 World Cup in Brazil.
- Sportsday - reaction to Van Gaal's sacking
- Where it went wrong for Van Gaal
- Twitchy ass and horny football - quirky Van Gaal
But they finished fifth this term and will play in the Europa League next season.
They only scored 49 league goals, too, their lowest total since 1989-90.
Saturday's FA Cup success at Wembley gave United a first trophy since Sir Alex Ferguson delivered the Premier League title in 2013 in his last season before retirement, but it was not enough to stop Van Gaal from losing his job.
Mourinho was sacked by Chelsea last December, just seven months after leading the London club to the Premier League title.
NI kama mkosi, kwamba timu zote tatu zilizokuwa zinashiriki Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara, zimeshuka rasmi daraja.
Kiungo wa Yanga Deus Kaseke akimtoka beki wa Coastal Union katika mchezo
uliochezwa katika uwanja wa Mkwakwani. Coastal Union imeshuka daraja.
NI kama mkosi, kwamba timu zote tatu zilizokuwa zinashiriki Ligi Kuu
ya soka Tanzania Bara, zimeshuka rasmi daraja.
Ndizo zilizoshika nafasi
tatu za mwisho katika msimamo wa ligi hiyo yenye timu 16 na ambazo
bingwa wake msimu huu ni Yanga iliyoweka rekodi ya kutwaa kwa mara ya 26
taji hilo tangu kuanzishwa kwa ligi nchini mwaka 1965.
Simba inafuatia kwa kutwaa mara 18. Matokeo ya kushuka rasmi kwa timu
hizo yalifahamika jana baada ya matokeo ya mwisho ya mechi nane za
kukamilisha ratiba ya Ligi Kuu msimu wa 2015/2016 zilizochezwa katika
mikoa mbalimbali nchini.Wakati timu hizo zote za Tanga zikitoa mkono wa kwa heri, Azam FC imemaliza katika nafasi ya pili huku ikiacha Simba katika nafasi ya pili baada ya vijana hao wa Msimbazi jana kufungwa 2-1 na JKT Ruvu ya Pwani.
Mgambo JKT imemaliza ikiwa na pointi 28, huku African Sports 26 na Coastal 22. Ushindi wa Pili AZAM FC imeipiku Simba kwa kumaliza nafasi ya pili baada ya mechi za mwisho za Ligi Kuu ya Tanzania Bara zilizopigwa kwenye viwanja tofauti jana.
Kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi, Azam walitoka sare ya kufungana bao 1-1 na Mgambo JKT ya Tanga, sare ambayo haikuisaidia Mgambo kuepuka kushuka daraja. Sare hiyo iliisaidia Azam ambayo ilikuwa ikiombea Simba ifanye vibaya ili wenyewe waweze kumaliza katika nafasi ya pili.
Bao la Azam FC lilifungwa na Ramadhani Singano ‘Messi’ katika dakika ya 60 huku lile la kusawazisha la Mgambo JKT lilipachikwa na Fully Maganga katika dakika ya 72. Kwa matokeo hayo, Azam FC inamaliza na pointi 64, ikifuatiwa na Simba SC inayomaliza ikiwa na pointi zake 62 katika nafasi ya tatu.
Uwanja wa Taifa
Kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, wenyeji Simba walimaliza vibaya baada ya kupokea kichapo cha kufungwa mabao 2-1 na JKT Ruvu na kuifanya ishindwe kumaliza katika nafasi ya pili.
Mabao ya washindi yaliwekwa kimiani na Abdulrahman Mussa katika dakika ya kwanza na ya 30 ya mchezo huo, ambao ulipooza, huku lile la Simba likifungwa na mkongwe Mussa Hassan Mgosi katika dakika ya 70.
Majimaji Songea Yanga ambayo tayari ilishatwaa ubingwa na kukabidhiwa taji lake siku kadhaa zilizopita, jana ilimaliza kwa sare ya kufungana mabao 2-2 na wenyeji Majimaji katia mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Majimaji mjini Songea hivyo kufikisha pointi 73.
CCM Kirumba Mwanza
Mechi nyingine za kufunga pazia la Ligi Kuu, wenyeji Toto Africans walijikuta wakichapwa bao 1-0 na Stand United katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.
Bao hilo pekee la Stand United liliwekwa kimiani na Hassan Seif `Banda’ katika dakika 74 akisaidiwa na Amri Kiemba. Toto Africans walifanya shambulizi la nguvu moja tu ambalo hata hivyo liliokolewa na kipa wa Stand United.
Mkwakwani Tanga
Wenyeji Coastal Union ya Tanga ambao tayari walikuwa wameshashuka daraja, jana walisokomezwa zaidi shimoni baada ya kupokea kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Tanzania Prisons ya Mbeya.
Sokoine Mbeya
Mbeya City ya Mbeya jana ililazimishwa sare ya bila kufungana dhidi ya Ndanda FC katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya.
Manungu Turiani
Mtibwa Sugar wameibuka na ushindi mnono wa mabao 2-0 baada ya kuichapa African Sports katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Manungu, Turiani. Kambarage Shinyanga Kagera Sugar walimaliza Ligi Kuu Tanzania Bara vizuri baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya vijana wa Jamhuri Kiwelo `Julio’, Mwadui FC ya Shinyanga.
Football League wants new five-league, 100-club system
English football could be heading for its biggest shake-up since the creation of the Premier League in 1992.
The Football League wants to create an extra division with 20 teams in each from 2019-20.
It would mean England has 100 teams in five divisions, up from 92. There are currently 24 teams in the Championship, League One and League Two.
The Football League says the move would tackle fixture congestion and boost the finances of its members.
The Premier League and the Football Association have backed the proposal "in principle".
Of the current 72 Football League clubs, 90% must support the proposal for it to go ahead. A decision will be made at their annual general meeting in June 2017.
"There are clear benefits for everyone," Football League chief executive Shaun Harvey told BBC Sport.
"It is about taking a step back to try to work out what is best for English football.
"We hope that the Football League taking this first step is the catalyst for future change."
However, the proposal has attracted mixed reaction from Football League clubs.
Accrington owner Andrew Holt said it had "no merit", while Leyton Orient chairman Barry Hearn believes it "has value".
Other club bosses complained they had not been told about the plan before it was announced on Thursday.
Why change the current system?
The Football League believes the move would help:
- Ensure more games are played on weekends and Bank Holidays;
- Remove fixture congestion and clashes;
- Help Football League clubs make more money;
- Keep the play-off finals on the last weekend of the domestic season.
Harvey said the Premier League and the FA have backed the idea in principle because "they can see potential benefits on an international basis".
"The whole game needs to come together," he added. "It is about finding solutions that supports English football for the future."
The FA said the fixture schedule needs looking at "for the benefit of all".
"These are interesting draft proposals and we look forward to further discussions over the coming months," it added.
Bradford joint-chairman Mark Lawn believes the current system should not be changed.
"We've had this structure for years because it has suited the majority of clubs, so why change it?" said Lawn, whose team are taking part in the League One play-offs.
"What they don't understand is that currently we have 23 home games. We need the crowds. Losing four home games means we lose four incomes."
Brentford chief executive Mark Devlin thinks the Football League should be praised for an "innovative and far-reaching approach".
"These proposals are a really good start for how we can tackle some of the problems Football League clubs are facing," he added.
How would the restructure be implemented?
For the proposal to be approved, it needs the backing of 65 Football League clubs (90%) at next year's AGM.
The Football League says its board is offering "no recommendation other than asking its members to give full consideration to the proposal".
The decision will have to be confirmed by November 2017.
Relegation from the Football League would be scrapped in the 2018-19 season before the restructure for the following season.
How the promotion/relegation system would work during 2018-19 is still to be determined.
Rotherham chairman Tony Stewart said he was concerned the proposal could widen existing financial gulfs between the divisions.
"There is also a divide between the Championship and League One and Two and the gaps need filling in," he added.
Where would the extra teams come from?
Currently, the bottom two teams in League Two are relegated from the Football League to the National League.
They would not go down at the end of the 2018-19 season, said Harvey.
Six other clubs - in addition to the two clubs already promoted from the National League - would join the Football League.
"The logical place for the extra clubs to come from would be promoting the next six teams from the National League," said Harvey.
"Some of those teams are already professional and the extension to the league may suit them.
Leicester City arrive in Bangkok to heroes' welcome
Members of Premier League-winning team Leicester City have arrived in Bangkok for a celebratory tour.
Players and staff were welcomed to Bangkok's Suvarnabhumi International Airport by cheering supporters.
They also held a parade in their home town on Monday.
Leicester won the league 10 points above nearest rivals Arsenal, and will contest next season's Champions League competition against the best clubs in Europe.




No comments:
Post a Comment