Wednesday, June 8, 2016

Serikali imetangaza kutenga trilion 29.5 kama bajeti yake kuu kwa mwaka 2016/2017


June 8 2016 Serikali kupitia Wizara ya fedha na mipango imewasilisha bungeni Dodoma mapendekezo ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2016/2016. Jukumu la kuwasilisha limefanywa na Waziri Philip Mpango

Waziri Mpango amesema..>>>’Kwa upande wa matumizi, katika mwaka 2016/2017 Serikali inapanga kutumia jumla ya shilingi trilioni 29.54 kwa matumizi ya kawaida na maendeleo

Serikali imetenga Trilion 11.8 ili kutekeleza miradi ya maendeleo, vipaumbele vikuu vinne vimetajwa


Wakati dakika zikiendelea kuhesabiwa ili kuisikia bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2016/2017 ikiwasilishwa bungeni nakusogezea hii taarifa ya hali ya uchumi 2015 na mpango wa maendeleo wa taifa 2016/2017 ya Wizara ya fedha na mipango ilivyowasilisha na Waziri Philip Mpango.

Waziri Mpango ameyataja maeneo makuu manne ambayo amesema  ’Mpango umegawanyika katika maeneo makuu manne,

 kwanza hali ya uchumi wa dunia na mwenendo wa uchumi wa taifa kwa mwaka 2015,

 pili, utekelezaji wa mpango wa maendeleo wa taifa wa mwaka 2015/16

Tatu ni muhtasari wa mwelekeo wa uchumi kwa mwaka 2016/17 na nne ni maeneo ya Kipaumbele kwa mpango wa maendeleo wa taifa wa mwaka 2016/17

Tuesday, June 7, 2016

US election 2016: Clinton hails 'milestone for women'

 
 Hillary Clinton has thanked her supporters for helping her reach a historic moment for women - the Democratic nomination for president.

"Thanks to you, we've reached a milestone," she told cheering crowds at a rally in New York.
She hailed "the first time in our nation's history that a woman will be a major party's nominee".
Earlier Mrs Clinton won the Democratic primary in New Jersey, cementing her hold on her party's nomination.

mwonekano wa magazet ya leo

Monday, June 6, 2016

CCM wameyazungumza haya baada ya upinzani kusema wanaenda kwa wananchi kushitaki



June 06 2016 Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka amekutana na waandishi wa habari na kuzungumza mambo kadhaa ambapo kati ya hayo amezungumzia suala la wabunge wa upinzani kusema wanaenda  kwa wananchi kushtaki kutokana na mambo kadhaa ambayo yamekuwa yakijitokeza kwa Serikali ya awamu ya tano……….

Rais Magufuli kakutana na Balozi wa Marekani nchini, Marekani kutoa msaada ambao hauhusiani na MCC











June 06 2016 Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mark Childress alikutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli ambapo katika mazungumzo yao ameahidi kuwa Marekani itatoa dola milioni 800 kwa Tanzania kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo.

Sunday, June 5, 2016

Pens are dangerous than guns,
They can kill you once,
And they can kill you twice.
Look with your heart children,
See the mushrooms in the ink.